Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amepokea  Tuzo  ya 2022 ya Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu ya Kimataifa kwa juhudi zilizofanywa katika kurekebisha sekta ya fedha ya Ethiopia na kuifanya iwe jumuishi.
                Habari ID: 3475796               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/09/17